Margerita wa Città di Castello
Margerita wa Città di Castello (Ngome ya Metola, Marche, Italia, 1287 - Città di Castello, Umbria, 13 Aprili 1320) alikuwa bikira kipofu na mlemavu wa viungo tangu kuzaliwa.
Baada ya kukataliwa na wazazi na monasteri mbalimbali alijiunga na Utawa wa Tatu wa Dominiko Guzman akazidi kutegemea moyoni jina la Yesu[1][2][1][3].
Utakatifu wake ulioheshimika tangu kale ulithibitishwa na Papa Fransisko tarehe 24 Aprili 2021[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Blessed Margaret of Castello". CatholicSaints.Info. 13 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The history of Little Margaret of Castello". Blessed Margaret of Castello Guild and Shrine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-15. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Blessed Margaret of Castello". Roman Catholic Saints. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90763
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |