Maria Bernarda Buetler
Maria Bernarda Bütler, kwa jina la awali Verena Bütler (Auw, Aargau, Uswisi, 28 Mei 1848 – Cartagena, Kolombia, 19 Mei 1924), alikuwa mtawa wa Uswisi mmisionari huko Amerika Kusini[1].
Huko alianzisha shirika la kitawa la Masista Wamisionari Wafransisko wa Bikira Maria Msaada wa Wakristo,[2] lenye nyumba nchini Ecuador, Colombia, Austria, na Brazil.
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 29 Oktoba 1995, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Oktoba 2008.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92293
- ↑ ""Decrees Promulgated For Servants Of God", Congregation for the Causes of the Saints". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-01. Iliwekwa mnamo 2015-02-06.
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Pope Announces Canonization of India's First Native Woman Saint Ilihifadhiwa 6 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine. from Vatican Radio
- Pope canonizes four new saints
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |