Maria Desolata

Maria Desolata (kwa Kihispania: Maria Soledad; jina la awali: Manuela Torres y Acosta; Madrid, 2 Desemba 1826 - Madrid, 11 Oktoba 1887) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki nchini Hispania ambaye alianzisha shirika lake lijulikanalo kama Watumishi wa Maria Wahudumu wa Wagonjwa.

Mt. Maria Desolata Torres Acosta.

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 5 Februari 1950 na Papa Paulo VI mtakatifu tarehe 25 Januari 1970.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.