Maria Dominika Mantovani

Maria Dominika Mantovani (Brenzone sul Garda, Italia, 12 Novemba 1862 – Brenzone sul Garda, 2 Februari 1934) alikuwa bikira aliyeanzisha shirika la Masista Wadogo wa Familia Takatifu lililokubaliwa na Papa Pius XI tarehe 3 Juni 1932.

Mt. Maria Dominika.

Tarehe 27 Aprili 2003 alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II, halafu tarehe 15 Mei 2022 alitangazwa mtakatifu na Papa Fransisko.[1]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Homily of John Paul II at Vatican website

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.