Maria Eufrasia Pelletier
Maria Eufrasia Pelletier (Noirmoutier-en-l'Île, Ufaransa, 31 Julai 1796 – Angers, 24 Aprili 1868) ni sista maarufu kwa kuanzisha shirika la kitawa la Bibi Yetu wa Upendo wa Mchungaji Mwema ili kupokea kwa huruma wanawake kahaba[1][2].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 30 Aprili 1933, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 2 Mei 1940[3].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ ""Saint Mary Euphrasia Pelletier", Catholic Pamphlets, 1958" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-07-12. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/50675
- ↑ ""St. Mary Euphrasia Pelletier", Good Shepherd Sisters, Philippine Province". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-22. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
hariri- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 144-145
Marejeo ya lugha nyingine
haririViungo vya nje
hariri- Congregation of Our Lady of Charity of the Good Shepherd Ilihifadhiwa 21 Aprili 2021 kwenye Wayback Machine.
- Contemplative Sisters of the Good Shepherd
- Good Shepherd Sisters founder statue in St. Peter's Basilica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |