Maria Eufrasia Pelletier

(Elekezwa kutoka Maria Pelletier)

Maria Eufrasia Pelletier (Noirmoutier-en-l'Île, Ufaransa, 31 Julai 1796Angers, 24 Aprili 1868) ni sista maarufu kwa kuanzisha shirika la kitawa la Bibi Yetu wa Upendo wa Mchungaji Mwema ili kupokea kwa huruma wanawake kahaba[1].

Mt. Maria Eufrasia.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 30 Aprili 1933, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 2 Mei 1940[2].

Sikukuu yake imehamishiwa tarehe 24 Aprili[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.