Maria na Grasya (waliuawa Alcira, Valencia, 1181) walikuwa mabinti wa sultani Mwislamu waliongokea Ukristo kwa juhudi za kaka yao, Bernardo wa Alzira, bradha wa urekebisho wa Wabenedikto wa Citeaux.

Maziara ya Wat. Bernardo, María na Gracia huko Alcira.

Kwa ajili hiyo, waliuawa kwa kisu mbele ya kaka yao Almanzor [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Agosti[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Zabala, Fernanda, Fernanda Rodriguez-Fornos Zabala (2003). Carena Editors, SL. ed. 125 Valencia in history . pp. 258. ISBN 8487398642.
  • Part Dalmau, Eduardo (1984). Commission Falla Plaza Mayor of Alzira. ed. From Al-Yazirat Jaime I. 500 years of the history of Alzira . pp. 211. ISBN 84-398-0974-3.
  • Anne Rosenblum, "Sts. Bernardo and Maria Gracia Alsirskie "/ / Live Tradition . - Moscoviae : MMX . - number I (III). - S. 17–18.

Viungo vya nje

hariri