Maria wa Msaada, O. de M. (jina la kuzaliwa kwa Kikatalunya: Maria de Cervelló; Barcelona, Hispania, 1 Desemba 1230 - Barcelona, 19 Septemba, 1290) alikuwa bikira wa Kanisa Katoliki kutoka Catalonia, ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza kujiunga na Wamersedari[1].

Mt. Maria wa Msaada katika dirisha la kioo cha rangi huko Barcelona.

Aliitwa "wa Msaada" kwa sababu alikuwa daima tayari kusaidia waliomuomba [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Inosenti XII alithibitisha heshima hiyo tarehe 15 Februari 1692.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Septemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Antonio Rubino, Dizionario degli Istituti di Perfezione, vol. V (Roma, 1978), coll. 945-946.
  •   This article incorporates text from a publication now in the public domainHerbermann, Charles, ed. (1913). "Mary de Cervellione". Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company. The entry cites:
    • Acta Sanctorum, September, VII, 152–171;
    • DUNBAR, Dictionary of Saintly Women II (London, 1905), 56–7;
    • CORBERA, Vida y hechos maravillo sas de d. Maria de Cerveilon, clamado Maria Socos (Barcelona, 1639): a Life written by her contemporary John de Laes is printed in Acta Sanctorum. According to Sarah Fawcett Thomas, Paul Burns, Butler's Lives of the Saints, September (2000), p. 186, these accounts are marred by many forgeries.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.