Marino shemasi

Marino kazini.

Shemasi Marino (kisiwa cha Arbe, Dalmatia, ? - San Marino, 366) alikuwa mchongamawe, halafu shemasi wa Kanisa Katoliki.

Anaheshimiwa kama mtakatifu na mwanzilishi (301) wa jamhuri ya San Marino.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marino shemasi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.