Marino wa Tarso (Ainvarza, karne ya 3; Tarso, Kilikia, leo nchini Uturuki, 303/311) alikuwa mzee ambaye aliuawa kwa kukatwa kichwa kutokana na imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya Dola la Roma, halafu maiti akatupwa kwa wanyama kama chakula[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.