Martiniano wa Kaisarea

Martiniano wa Kaisarea (alifariki Athens, Ugiriki, 422 hivi) alikuwa Mkristo wa Palestina ambaye aliwahi kuishi kama mkaapweke karibu na Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli.

Mozaiki inayoonyesha sura yake.

Baadaye alikwenda kuishi katika kisiwa kidogo na hatimaye akaanza kuhamahama [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 13 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.