AfroBasket 2009
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
AfroBasket 2009 yalikuwa mashindano ya 25 ya FIBA Africa Championship. Mashindano hayo ya ubingwa yalifanyika chini ya bodi ya mpira wa kikapu iitwayo Fédération Internationale de Basketball
Mashindano yalifanyika nchini Libya baada ya Nigeria kujiondoa kwa kutokamilisha vigezo vilivyowekwa na FIBA Africa.
Michuano ya ubingwa ya FIBA ya mwako 2009 ilifanyika tarehe tofauti tofauti mnamo 4 Agosti 2008 hadi 31 Mei 2009.
Timu zilizofuzu
haririTimu iliyofuzu kama mwenyeji wa mashindano:
Tatu bora ya waliofuzu katika ubingwa FIBA Afrika 2007:
Washindi wa kanda:
Walio fuzu kuingia katika mashindano bila ya kuchuana na timu pinzani:
Marejeo
haririTovuti za Nje
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |