Mattia Perin (amezaliwa 10 Novemba 1992) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama kipa katika klabu ya Juventus ya serie A na timu ya taifa ya Italia.

Mattia Perin

Kazi ya klabu hariri

Juventus hariri

Tarehe 8 Juni 2018 Perin alisajiliwa na Juventus kwa mkataba wa miaka minne ya ada ya 12,000,000.

Perin alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na Juventus tarehe 26 Septemba 2018, akipata ushindi mzuri wa 2-0 nyumbani dhidi ya Bologna.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mattia Perin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.