Mederiki
Mederiki (pia: Merri; Autun, karne ya 7 – Paris, 29 Agosti 700) tangu ujanani alikuwa mmonaki mwenye bidii; baada ya kupata upadrisho na cheo cha abati wa Autun, hatimaye aliishi hadi kifo chake kama mkaapweke katika chumba kidogo karibu na mji wa Paris [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |