Mikaeli Febres, F.S.C. (jina la awali kwa Kihispania: Francisco Luis Florencio Febres Cordero Muñoz; Cuenca, Ekwado, 7 Novemba 1854 - Premià de Mar, Catalunya, Hispania, 9 Februari 1910) alikuwa bradha mlemavu aliyetumia maisha yake kulea kwa bidii vijana, pamoja na kuwa mtaalamu wa isimu na fasihi.

Mt. Mikaeli Febres.

Miezi ya mwisho, akiwa mgonjwa zaidi, hakuacha kufuata taratibu za kitawa katika nyumba ya unovisi[1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 30 Oktoba 1977, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 21 Oktoba 1984.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Februari[2].

Tanbihi hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri