Moluag
Moluag (pia: Lua, Luan, Luanus, Lugaidh, Moloag, Molluog, Molua, Murlach, Malew, Lugidus, Lugidius, Lugadius, Lugacius, Luanus; takriban 510 – 592) alikuwa mmonaki na padri kutoka nchi ya Ireland alikwenda kuinjilisha Uskoti hadi kifo chak[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/59360
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
hariri- Barrett, Michael. A Calendar of Scottish Saints. Fort Augustus: The Abbey Press, 1919.
- Carmichael, Ian. Lismore in Alba.
- Farmer, David Hugh. The Oxford Dictionary of Saints. Oxford: Oxford University Press, 1992. ISBN 0-19-283069-4
- Moran, Rev. Patrick. Irish Saints in Great Britain. Dublin: M H Gill & Son, 1879.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |