Mpigania uhuru

Mpigania uhuru ni mtu ambaye hujihusisha na harakati za kujikomboa au kukomboa watu wengine. Anaweza kuwa anatumia mikakati ya vita au majadiliano ili kuletea anaowatetea uhuru.

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Mpigania uhuru" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.