Mto Oueme
Mto Oueme ni mto nchini Benin[1].
Chanzo chake kinatoka kwenye milima ya Atakora. Mto Oueme unaishia kwenye bahari ya Atlantiki.
Mto Oueme una urefu wa kilomita 510. Mto Oueme unapita katikati ya miji ya Carnotville na Ouémé hadi kwenye bonde kubwa la Ghuba ya Guinea karibu na mji wa bandari wa Cotonou.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Oueme kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |