Mtumiaji:Muddyb/Archive 3
Re: Translation request
Sawa, nitajaribu. Hakika, nitafanya hii pole pole pole pole... ninafahamu kiitaliano vizuri sana, lakini siandiki kiswahili vizuri :-) Kwanza nitajaribu kuandika ukurasa huu kwa "sandbox" hapa, kisha nitaombea wewe kuangalia na kukosa huu kabla ya kuanza ukurasa, kama unapenda. OK? Moongateclimber (majadiliano) 08:36, 19 Agosti 2008 (UTC)
- Asante sana. I'm learning a lot from your corrections... thanks for your precious help Moongateclimber (majadiliano) 08:04, 20 Agosti 2008 (UTC)
- Ninajibu hapa! Moongateclimber (majadiliano) 23:09, 20 Agosti 2008 (UTC)
Redirect
Ndugu, nimejaribu mara kadhaa kusoma maelekezo yako na ya Kipala kuhusu ku-redirect lakini sijaelewa. Niandike wapi? Katika ukurasa ambao haufai zaidi au katika ule mpya unaotakiwa? Asante! Kila la heri!
- Salam. Kuredirect, ni kuelekeza ukurasa mmoja kwa sehemu ya makala iliyotayari! Labda makala yako ina majina mawili, halafu wewe unataka majina yote ya patikane, unachotakiwa kufanya ni kuumba makala kwa jina rasmi, kisha unaweka jina lingine ambalo unahisi huwa lina tumiwa katika kutaja jina kamili. Angalia mifano hapo chini:
- #REDIRECT [[Hapa unaandika jina jipya kwa lengo la ikifugunguka ielekee katika makala ambayo iko tayari]]
- Makala yangu inaitwa Tmk Wanaume Halisi, sasa nataka nii-redirect kwa:
- #REDIRECT [[Wanaume Halisi]]
- Kuanzia hapo majina yote mawili yanaweza kufungua makala yetu ya Tmk Wanaume Halisi kwa jina hilo na Wanaume Halisi!
- Vipi namna ya kuweka kitufe cha redirect?
- Angalia vitufe vya hapo juu kile kilichoandikwa #R, ukikibonyeza chenyewe kitakuwekea sehemu ya kuandikia makala huku kikiwa kinakupa mwongozo mzuri kabisaaa. Natumai umeelewa ni nini cha kufanya! Mengineyo: Sijui wewe ni nani uliyeacha ujumbe huu katika ukurasa wangu wa majadiliano! Labda ungeweka utaratibu kwa kujisajili jina lako wakati wa kumaliza kuacha ujumbe katika kurasa za majadiliano kwa kuandika alama hizi ~~~~ mara nne tu, na zitaacha ujumbe, jina lako, muda, siku na tarehe! Basi karibu sana.--Mwanaharakati (majadiliano) 14:57, 25 Agosti 2008 (UTC)
Naomba nijibu hapa pia ingawa ni ukurasa wa Muddy. Mfano: tunao ukurasa unaoitwa "Waraka wa kwanza kwa Wakorintho"; jina hili ni ndefu na hufupishwa mara nyingi. Kwa marejeo inasaidia kama kifupi kinatambuliwa pia. Vilevile kuna uzoefu tofauti kuandika neno "Korintho" au "Korinto".
Kwa hiyo ni sawa kuunda makala ya redirect na kila moja itampeleka msomaji kwenda "Waraka wa kwanza kwa Wakorintho".
Mifano:
1 Wakorintho yaliyomo iwe "#REDIRECT [[Waraka wa kwanza kwa Wakorintho]] "
Wakorinto wa kwanza yaliyomo iwe "#REDIRECT [[Waraka wa kwanza kwa Wakorintho]] "
1 Kor yaliyomo iwe "#REDIRECT [[Waraka wa kwanza kwa Wakorintho]] "
na kadhalika. Hii inasaidia kutumia maumbo mbalimbali yaliyo kawaida ya neno au tamko moja. Vile kwa majina kama maumbo mafupi au marefu ni kawaida kwa mtu. --Kipala (majadiliano) 15:01, 25 Agosti 2008 (UTC)
Muziki wa dansi
Nilimaliza. Tafadhali uangalie na usawazishe kama unapenda! Asante! Moongateclimber (majadiliano) 08:07, 28 Agosti 2008 (UTC)
Kijiji, kata, wilaya
Muddy, naomba usaidizi wako kidogo. Nazidi kuchanganya ngazi za utawala katika Tanzania. Hasa nazikuta kwa Kiingereza nipe uhakika ni nini kwa Kiswahili (kata, kijiji, wilaya...). Je ni haya yafuatayo sawa?
ward - kijiji
division - kata
district - wilaya
Au nimesahau ngazi? ni kijiji kilekile kama ward? Halafu: wapi mnasema "kijiji" na wapi "mji" ? --Kipala (majadiliano) 17:52, 4 Septemba 2008 (UTC)
Sasa umeandika
1. Ward, ladle, administrative district yote ni moja, ambayo inamaana sawa ya KATA.
2. Kijiji, hapa napata VILLAGE pekee yenye kutaja KIJIJI.
3. District, hii ndiyo yenyewe inayotakiwa kuwa WILAYA.
Kwa Kiingereza napata mara kwa mara ugawaji "ward - division - district" kama ngazi tatu zinazofuatana. Jibu lako halitaji "division". Sasa nauliza tena. Hasa "kijiji" ni ngazi gani? Chiniy a ward (yaani "ward" moja kuwa na vijiji) au kinyume chake kijiji kuwa na "wards" kadhaa?). --Kipala (majadiliano) 16:53, 5 Septemba 2008 (UTC)
Hi Muddyb ;)
Hi! How are you? Could you please help me add a couple of sentences to the Kiswahili version of this interesting article?
Thanks so much! -Ivana Icana (majadiliano) 22:33, 6 Septemba 2008 (UTC)
Sooty chat
Muddyb, salam. Angalia ukurasa huu: Chati. ChriKo (majadiliano) 23:13, 23 Septemba 2008 (UTC)
- Nikikufahamu vizuri unataka niandike makala ya Chati Bega-jeupe ambalo ndilo jina la Sooty Chat kwa Kiswahili. Hakikisha tafadhali. ChriKo (majadiliano) 20:13, 25 Septemba 2008 (UTC)
- Natumaini unafurahi sasa (angalia Chati Bega-jeupe). ChriKo (majadiliano) 00:04, 6 Oktoba 2008 (UTC)
Jamii za nyimbo
Bwana Muddyb, salaam! Nimeanza kubainisha jamii zinazohusu nyimbo kwa vile nimegundua kwamba nyimbo fulani zilikuwa hazijabainishwa sawasawa, k.m. jamii ya Nyimbo za Birdman ilikuwa chini ya "nyimbo nchi kwa nchi" wakati iwemo "nyimbo msanii kwa msanii". Ukiangalia kwenye wikipedia ya Kiingereza, wanatofautisha "Songs by country", "Songs by year", "Songs by artist" na "Songs by producer". Kuna nyingine pia lakini nimewaza kuwa jamii hizo nne ni za muhimu mno. Ukiweza, naomba ufuate mfumo huohuo. Asante! Nakutakia kazi njema. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 09:39, 2 Oktoba 2008 (UTC)
Single au Nyimbo
Ni mimi tena. Nilipoanza kuangalia jamii ya "nyimbo msanii kwa msanii", niligundua kuwa pia kuna jamii za "single". Ila hakuna tofauti sana kati ya makala kuhusu wimbo fulani na makala kuhusu single fulani. Halafu nilisoma katika kwamba tusiweke nyimbo katika jamii za single. Haya, kwa sasa nimeweka jamii zote za single chini ya jamii za nyimbo za msanii yuleyule. Natumai kuwa utakubali. La sivyo, nipe shauri zuri zaidi. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 12:01, 2 Oktoba 2008 (UTC)
Ujumbe
Muddy, salaam naomba uangalie barua pepe! --Kipala (majadiliano) 07:52, 3 Oktoba 2008 (UTC)
Hi
Hi, I'm berkay, from Turkish wikipedia. I have to ask one question to you; can you find the true Tanzanian cities for me? You gave me a list, but some of them are not cities; they are towns. As a result; I can not find any information about towns. Yours. --78.164.83.175 14:21, 4 Oktoba 2008 (UTC)
Re: Mboma kimya sana
Salam Muddy! Nilinyamaza kwa sababu nilikuwa na kazi nyingi sana. Lakini sikuenda (sikwenda? I didn't go away :-)). Sijambo. Hujambo? Moongateclimber (majadiliano) 10:47, 13 Oktoba 2008 (UTC)
- Sikunyita: Halafu, eti lini unategemea kuja Bongo?... Nakunyita kiswahili kidogo bado! Jaribu tena? :-) Moongateclimber (majadiliano) 11:32, 13 Oktoba 2008 (UTC)
- :-) "Sikunyita": i did not understand... kama mimi sikunyita, wewe hukunyita, yeye hakunyita...... Siyo sawa?
- Kuhusu kuenda "Bongo", ni kweli, mimi ninatumaina kuja punde, lakini sijui lini! ... Kwa sababu, mimi na mke wangu tunataka kupokea mtoto yatima (can't find it in swahili: "adopt a child") kutoka nyumba ya mayatima ya Kurasini. Kwanza, tutachaa Dar es Salaam kwa mwezi moja. Lakini sisi tunagemea kupigiwa simu. Kama wao watapiga simu, sisi tutakuja! (Unaelewa? vingine nitaandika hii kwa kiingereza...) Moongateclimber (majadiliano) 12:44, 13 Oktoba 2008 (UTC)
Good morning to you. Would you be able please help the article on my village native? Also because a cousin of our priest, Joachim Mmasi of Daar-es-Salaam would want to have an article on my village in Swahili. But as you are able well to see my swahili is everything ugly. With my dictionary bought in the bookstore it is not a lot. However if then I help me I will translate you a biography or a geographical article in Italian and Sicilian. Could you help me? I thank you in advance! Regards from Campora San Giovanni!!!--Lodewijk Vadacchino (majadiliano) 11:37, 14 Oktoba 2008 (UTC)
Shukrani
Asante tena kwa kazi zako na kwa maelekezo yote uliyonipa. Usichoke: bado mengi yananishinda, k.mf. namna ya kuingiza picha! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:56, 18 Oktoba 2008 (UTC)
Received message! This guy is the veteran of the Austrian series, he has made a cameo in the first international series. It is actually now real member to 2010. If you do me the favor to translate it, next time I will use that few of words that I have some dictionary Vallardi of Swahili. I communicate besides you that thanks to Rai Intenational the series will also arrive very soon from you in English language or with the varying swahili. Ahsante na Kumradhi!--Lodewijk Vadacchino (majadiliano) 10:35, 3 Novemba 2008 (UTC)
Kibonzo-katuni
Naomba uangalie Talk:Kibonzo na swali langu. --Kipala (majadiliano) 18:22, 12 Novemba 2008 (UTC)
Miji gani?
Muddy, salaam naone umeanza kushambulio miji ya Ujerumani. Najisikia naheshimiwa ila tu nina hoja. NAdhani kwa ustawi wa wikipedia yetu ingesaidia sasa kama tunaweza kuongeza makala juu ya miji ya Afrika ya Mashariki. Naona ya kwamba hapa wasomaji Waswahili wanaelekea kuangalia zaidi kwa sababu mara nyingi mtu anaangalia habari za kwake. Nikitazama kuna makala 75; Kenya ni zaidi na bila shaka kwa sababu Wakenya wenyewe pamoja na watalii wanaandika hapa kwa Kiingereza (nimeona peke yake kuna 30 tayari. Idadi hii imeongezeka sana katika miaka miwili tangu tumeanza hapa sw-wikipedia. Unaonaje ukipata nafasi kutafsiri pia kidogo makala hizi? Ilhali mimi bado naendelea orodha ya makala 1000 za kimsingi. --Kipala (majadiliano) 19:14, 5 Desemba 2008 (UTC)
Global Akaunti
Muddyb, salam. Unaweza kunipa njia kamili ya mimi kuwa na akaunti ya kimataifa ya Wiki?--Montero(Ongea) 16:17, 13 Desemba 2008 (UTC)
8000 !!!
Ndugu, hongera zote kwako: naona siku hizi umekazana na jiografia! Asante kwa shauri la kuvumiliana: ni la busara sana! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:45, 19 Desemba 2008 (UTC)
- Muddy, hongera, hizi mbegu 150 zilikuwa kazi yako; mimi naendelea polepole na makala 100 za kimsingi. Ninategemea ya kwamba tutaona polepole watu wanaongeza neno hapa na pale. Tunendelee kuongeza mbegu na kuongeza nyama kidogo hapa na pale kwenye mifupa! --Kipala (majadiliano) 21:09, 19 Desemba 2008 (UTC)
Merry Xmas + exange of courtesies!
Hujambo! Dear Muddyb, writes you to first of all wish you a marry Christmas from beautiful Italy. I have seen on the Wikipedia wolof that you wanted writing your Tanzania in Wolof. I have seen the edition in my Sicilian dialect, you see here. The article is poor of contents, there is no problem. I make you a spectacular article in these days. Both for thanks in your comparisons and for the respects of my priest, Father Apollinaris. I will take care of at the most it. Will want us some time, but I think that for end year the Tanzania will have a beautiful I articulate in my dialect! Meanwhile since do you deal yourself with cinema, could you translate in Kiswahili the article of Lola Pagnani? You are one friend of mine, known on facebook now, and in television before. I thank as always you in advance! Ahsante!--Lodewijk Vadacchino (majadiliano) 13:50, 24 Desemba 2008 (UTC)
- My pleasure. But first you have to establish Tanzania article in your language dialect! And I'll certainly write your requested article right away!!! Do that and let me know, cause I alredy made two for you, but for me it's not yet. Now i'ts your turn kudadadeki Samahanai sana! --Mwanaharakati (Longa) 16:30, 24 Desemba 2008 (UTC)
Imefanyika. I hope that you will be happy. Could you write the article on my friend now? almost similar to that of Monica Bellucci. To brief will also see the photo! Ashante! Jambo!--Lodewijk Vadacchino (majadiliano) 22:07, 28 Desemba 2008 (UTC)
Jamii/Category
Salaam, niliandika kwa Riccardo kwa sababu alipoweka "Jamii:Waitalia" nilishtuka nilipoona ya kwamba jamii hii ilionekana bila kuunganishwa na jamii nyingine. Hapo niliwaza kuna mdudu ndani yake na nilimshauri ipasavyo. Ila tu nimerudia ile "Jamii:Waitalia" kwenye sanduku lka mchanga kumbe inafanya kazi. Sijui lakini tunendelee kutumia "jamii" na kuwa macho. --Kipala (majadiliano) 14:07, 31 Desemba 2008 (UTC)
- Langu jicho mkono na shavu langu --Mwanaharakati (Longa) 14:17, 31 Desemba 2008 (UTC)