My Wife and Kids ni kipindi cha kuchekesha iliyotengenezwa na stesheni ya ABC kuanzia 28 Machi 2001, hadi 17 Mei 2005. Waigizaji wakuu ni Damon Wayans na Tisha Campbell-Martin, na kipindi hiki kilitayarishwa na Touchstone Television.

Waigizaji wakuu wa My Wife and Kids

Ni kuhusu baba aitwaye Michael Kyle, anayempenda mkewe kwa dhati na aliye na mfumu wa kulea watoto wake kwa makini, uerevu na wa kuchekesha.

Hisotria na upatikanaji

hariri

Kipindi hiki kilianzishwa na Don Reo, Chris Scantelli, na Damon Wayans. Vipindi vyake huonyeshwa nchini Marekani, Ulaya, Australia, Ubelgiji, Canada, Brazil, Samoa, Afrika Kusini, Kenya, Singapore, Tanzania, India, Pakistan, Ufilipino, Bangladesh, United Arab Emirates, Qatar, Italia, Netherlands, Kupro, New Zealand, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi na Hungary.

Waigizaji

hariri
  • Jazz Raycole aliigiza kama Claire kwenye msimu wa kwanza. Jennifer Freeman aliendelea kuigiza kama Claire kuanzia msimu wa pili.
  • Noah Gray-Cabey alijiunga kuanzia msimu wa tatu, akiigiza kama Franklin.
  • Meagan Good pia alijiunga kwenye msimu wa tatu, akiigiza kama mpenzi wa Junior. Meagan alitolewa na Brooklyn Sudano akawekwa badili yake kwa sababu zisizojulikana.

Waigizaji wakuu

hariri

Waigizaji wengineo

hariri

Mafanikio

hariri
Season TV season Ratings rank Viewers
(in millions)
1 2000-2001 #43[1] 8.0[1]
2 2001-2002 #41[2] 11.0[2]
3 2002-2003 #42[3] 11.27[3]
4 2003–2004 #60[4] 9.95[4]
5 2004–2005 #79[5] 7.2[5]
Tuzo Matokeo
ASCAP Awards:
Top TV Series (Ilishinda)
BET Comedy Award:
Outstanding Comedy Series Nominated[6]
Outstanding Directing for a Comedy Series Ilichaguliwa
Outstanding Lead Actor in a Comedy Series (Damon Wayans) (Alishinda)
Outstanding Lead Actress in a Comedy Series (Tisha Campbell-Martin) (Alishinda)
Outstanding Writing for a Comedy Series Ilichaguliwa
Outstanding Supporting Actor in a Comedy Series (George O. Gore II) Ilichaguliwa
Family Television Award:
Comedy (Ilishinda)
Image Awards:
Outstanding Directing in a Comedy Series Ilichaguliwa
Outstanding Actor in a Comedy Series (Damon Wayans) Ilichaguliwa
Outstanding Actress in a Comedy Series (Tisha Campbell-Martin) (Ilishinda)
Outstanding Comedy Series Ilichaguliwa
Outstanding Supporting Actor in a Comedy Series (George O. Gore II) Ilichaguliwa
Logie Award:
Most Popular Overseas Comedy Ilichaguliwa
People's Choice Award:
Favorite Male Performer in a New Television Series (Damon Wayans) (Alishinda)
Favorite Television New Comedy Series (Ilishinda)
Prism Award:
TV Comedy Series Episode (Ilishinda)
Satellite Awards:
Best Actor in a Series, Comedy or Musical (Damon Wayans) Alichaguliwa
Best Performance by an Actor in a Series, Comedy or Musical (Damon Wayans) Alichaguliwa
Teen Choice Award:
Choice TV Actress - Comedy (Jennifer Freeman) Alichaguliwa
TV - Choice Comedy Alichaguliwa
Young Artist Award:
Best Performance in a TV Series (Comedy or Drama) - Young Actor Age Ten or Younger (Noah Gray-Cabey) (Ilishinda)
Best Performance in a TV Series (Comedy or Drama) - Young Actress Age Ten or Younger (Jazz Raycole) Alichaguliwa
Best Performance in a TV Comedy or Drama Series - Guest Starring Young Actress Age Ten or Under (Jessica Sara) (Ilishinda)
Best Ensemble in a TV Series (Comedy or Drama) Ilichaguliwa
Best Family Television Series (Comedy or Drama) Ilichaguliwa
Best Performance in a TV Comedy Series - Guest Starring Young Actress (Marina Malota) Ilichaguliwa
Best Performance in a TV Comedy or Drama Series - Guest Starring Young Actress Age Ten or Under (Liliana Mumy) Ilichaguliwa
Best Performance in a TV Series (Comedy or Drama) - Young Actress Age Ten or Under (Parker McKenna Posey) Ilichaguliwa

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "TV Ratings 2000-2001". Iliwekwa mnamo 9 Januari 2010]. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 "How did your favorite show rate?". USA Today. 28 Mei 2002. Iliwekwa mnamo 9 Januari 2010.
  3. 3.0 3.1 "Nielsen's TOP 156 Shows for 2002-03".
  4. 4.0 4.1 "Viewership numbers of primetime programs during the 2003-04 television season". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-30. Iliwekwa mnamo 2010-01-13. Retrieved on 2010-01-09.
  5. 5.0 5.1 "2004-2005 TV Ratings". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-19. Iliwekwa mnamo 2010-01-13. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20070519102605/http://www.hollywoodreporter.com/hr/search/article_display.jsp?vnu_content_id= ignored (help) Retrieved on 2010-01-09.
  6. "Awards for My Wife and Kids (2001)". Imdb.com. Iliwekwa mnamo 2008-09-07.