Nikolai wa Japani
Nikolai wa Japani (jina la awali Ivan Dimitrovich Kasatkin, kwa Kirusi Иван Дмитриевич Касаткин; 13 Agosti 1836 – 16 Februari 1912) alikuwa mmonaki, shemasi, padri na hatimaye (1880) askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi.
Kama mmisionari, ndiye aliyeingizwa Ukristo wa Kiorthodoksi nchini Japani.[1] Alipofariki nchini kulikuwa na waumini 33,000 katika jumuia 266.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Святый Николае, иерарше равноапостольне... молися о всем мире", Pravoslavie.RU, February 2007, in Russian
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |