Orodha ya mito ya Botswana
Mito ya Botswana ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
Kadiri ya beseni
hariri- Mto Zambezi
- Mto Cuando (Chobe) (Linyanti)
- Mto Makwegana (Selinda Spillway) (hutoka Okavango wakati wa mafuriko)
- Mto Cuando (Chobe) (Linyanti)
- Mto Limpopo
- Mto Boteti (hutoka Delta ya Okavango mvua ikinyesha zaidi)
- Mto Nata
- Mto Semowane
- Mto Mosetse
- Mto Lepashe
- Mto Mosope
Kwa utaratibu wa alfabeti
haririBaadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- United Nations 2004
- GEOnet Names Server Ilihifadhiwa 10 Aprili 2020 kwenye Wayback Machine.