Orodha ya vyama vya siasa Tanzania
(Elekezwa kutoka Orodha ya vyama vya siasa nchini Tanzania)
Mfumo wa vyama vingi ni hali ya kuwa na chama zaidi ya kimoja,katika nchi moja.Madhumuni ya kuwa na vyama vingi vya siasa ni kuleta ushindani wa kisiasa,ili kuleta maendeleo ya nchi,upinzani wa kisiasa sio uadui kama watu wengi kwenye nchi zinazoendelea wanavyodhani,kuwa na vyama vingi ni kuongeza wigo wa demokrasia katika jamii huska.
Tanzania |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Tanzania ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi vya siasa uliorejeshwa katika katiba ya Tanzania mwaka 1992.
Chama tawala ni
- Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimetokana na muungano kati ya
- Tanganyika African National Union (TANU) na
- Afro Shiraz Party (ASP) ya Zanzibar.
Vyama vingine vya siasa Tanzania ni
- Civic United Front (CUF)
- Tanzania Labour Party (TLP)
- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
- National Convention for Constitution and Reconstruction-Mageuzi (NCCR-Mageuzi),
- National League of Democracy (NLD)
- Democratic Party (DP)
- Demokrasia Makini
- Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo)
- Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
Orodha kamili ya vyama vya siasa nchini Tanzania]
hariri# | Chama | Kifupi chake | Kimeanzishwa | Bunge | BWZ | BAM | SADC-PF | BUA | |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | Chama cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) | CCM | 1977 | ||||||
2 | Civic United Front (Chama cha Wananchi) | CUF | 1992 | ||||||
3 | Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) | CHADEMA | 1992 | 0 | 0 | 0 | 0 | ||
4 | Union for Multiparty Democracy | UMD | 1993 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
5 | NCCR-Mageuzi (Chama cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa) | NCCR-M | 1992 | 0 | 0 | 0 | |||
6 | National League for Democracy | NLD | 1993 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
7 | Attentive Democracy Party (Demokrasia Makini) | MAKINI | 2001 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
8 | United People's Democratic Party | UPDP | 1993 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
9 | National Reconstruction Alliance | NRA | 1993 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
10 | Democratic Party (Chama Cha Kidemokrasia) | DP | 2002 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
11 | Tanzania Democratic Alliance | TADEA | 1990 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
12 | Tanzania Labour Party | TLP | 1993 | 0 | 0 | 0 | 0 | ||
13 | United Democratic Party | UDP | 1994 | 0 | 0 | 0 | 0 | ||
14 | Chama cha Haki na Ustawi (Chama cha Haki na Ustawi) | CHAUSTA | 1998 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
15 | Progressive Party of Tanzania – Maendeleo | PPT-MAENDELEO | 2003 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
16 | People's Voice (Sauti ya Umma) | SAU | 2005 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
17 | Traditional Dhow (Jahazi Asilia) | 2004 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | ||
18 | Alliance for Tanzanian Farmers Party (Chama Cha Wakulima) | AFP | 2009 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
19 | Social Party (Chama Cha Kijamii) | CCK | 2012 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
20 | Alliance for Democratic Change (Umoja wa Mabadiliko ya Demokrasia) | ADC | 2012 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
21 | Party for People's Redemption (Chama cha Ukombozi wa Umma) | CHAUMMA | 2013 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | |
22 | Alliance for Change and Transparency (Umoja wa Mabadiliko na Uwazi) | ACT | 2014 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |