Pambazuko (au macheo au maawio ya jua) ni hasa nukta ambapo jua linaanza kuonekana upande wa mashariki wa dunia,[1] lakini pia kipindi chote cha siku ambacho kinafuata na kuathiriwa na nukta hiyo.[2]

Pambazuko baharini.
Jua limeshapambazuka huko Cua Lo, Vietnam.
Video ya pambazuko.

Kurudi kwa mwanga wa kutosha duniani baada ya giza la usiku ni mfano muhimu katika sanaa na katika dini ambao unachukuliwa kama mzuri na wa kuleta tumaini jipya.

Kinyume cha mapambazuko au macheo ni machweo wakati wa jioni.

Tanbihi

hariri
  1. "U.S. Navy: Rise, Set, and Twilight Definitions". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-08-14. Iliwekwa mnamo 2015-05-27. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  2. Sunrise - Definition and More from the Free Merriam-Webster Dictionary

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Vipindi vya siku  

UsikuUsiku katiUsiku wa mananeAlfajiriPambazukoAsubuhiAdhuhuriMchanaAlasiriJioniMachweo