Papa Alexander I

Papa Alexander I alikuwa Papa kuanzia takriban 108/109 hadi kifo chake takriban 116/119[1]. Alitokea Roma, Italia.

Papa Alexander I.

Alimfuata Papa Evaristus akafuatwa na Papa Sixtus I.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 3 Mei au 16 Machi.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  • Benedict XVI. The Roman Martyrology. Gardners Books, 2007. ISBN 9780548133743.
  • Chapman, John. Studies on the Early Papacy. Port Washington, NY: Kennikat Press, 1971. ISBN 9781901157604.
  • Fortescue, Adrian, and Scott M. P. Reid. The Early Papacy: To the Synod of Chalcedon in 451. Southampton: Saint Austin Press, 1997. ISBN 9781901157604.
  • Jowett, George F. The Drama of the Lost Disciples. London: Covenant Pub. Co, 1968. OCLC 7181392
  • Loomis, Louise Ropes. The Book of Popes (Liber Pontificalis). Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 1889758868

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father