Papa Gregori VII

Mt. Gregori VII

Papa Gregori VII, O.S.B. (Soana, Toscana, kati ya 1020 na 1025Salerno, Campania, 25 Mei 1085) alikuwa papa kuanzia 22 Aprili 1073 hadi kifo chake ugenini.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ildebrando da Soana.

Alimfuata Papa Aleksanda II akafuatwa na Papa Vikta III.

MaishaEdit

Baada ya kuwa mmonaki wa Kibenedikto alichangia urekebisho wa Kanisa kama kardinali.

Kisha kuchaguliwa kuwa papa alipigania kwa nguvu zote uhuru wa Kanisa Katoliki dhidi ya mamlaka ya serikali, akifungua njia kwa mapapa waliofuata.

Alitangazwa na Papa Gregori XIII kuwa mwenye heri (1584), halafu (1728) kuwa mtakatifu na Papa Benedikto XIII.

Maandishi yakeEdit

Barua zake nyingi kwa mtetezi wake, Matilda wa Toscana zinapatikana katika:

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.