Papa Anastasio IV
(Elekezwa kutoka Papa Anastasius IV)
Papa Anastasio IV (alifariki 3 Desemba 1154) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 1153 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Corrado wa Suburra.
Alimfuata Papa Eugenio III akafuatwa na Papa Adriano IV.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |