Papa Benedikto XIV

(Elekezwa kutoka Papa Benedikt XIV)

Papa Benedikto XIV (31 Machi 16753 Mei 1758) alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Agosti 1740 hadi kifo chake.

Papa Benedikto XIV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Prospero Lorenzo Lambertini.

Alimfuata Papa Klementi XII akafuatwa na Papa Klementi XIII.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XIV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.