Papa Boniface IX

(Elekezwa kutoka Papa Bonifasi IX)

Papa Boniface IX (13561 Oktoba 1404) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/9 Novemba 1389 hadi kifo chake[1]. Alitokea Napoli, Italia[2].

Papa Bonifasi IX.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Piero Tomacelli.

Alimfuata Papa Urbano VI akafuatwa na Papa Inosenti VII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.