Papa Innocent VII

(Elekezwa kutoka Papa Inosenti VII)

Papa Innocent VII (takriban 13366 Novemba 1406) alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Oktoba/11 Novemba 1404 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sulmona, Italia[2].

Papa Inosenti VII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Cosma Migliorati.

Alimfuata Papa Bonifasi IX wakati wa Farakano la Kanisa la Magharibi, akafuatwa na Papa Gregori XII.

Tazama pia Edit

Tanbihi Edit

Viungo vya nje Edit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.