Papa Celestino III

Papa Celestino III (takriban 11068 Januari 1198) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Machi 1191 hadi kifo chake.

Papa Selestini III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacinto Bobone.

Alimfuata Papa Klementi III akafuatwa na Papa Innocent III.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.