Papa Honorius II

Papa Honorius II (takriban 103613/14 Februari 1130) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15/21 Desemba 1124 hadi kifo chake[1]. Alitokea Fiagnano, Imola, Italia[2].

Papa Honori II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lamberto Scannabecchi.

Alimfuata Papa Kalisti II akafuatwa na Papa Inosenti II.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.