Papa Innocent IV

(Elekezwa kutoka Papa Inosenti IV)

Papa Innocent IV (1180/11907 Desemba 1254) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25/28 Juni 1243 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Liguria, Italia[2].

Papa Inosenti IV akituma Wadominiko na Wafransisko kwa Watartari.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sinibaldo Fieschi.

Alimfuata Papa Selestini IV akafuatwa na Papa Aleksanda IV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.