Papa Julius III

Papa Julius III (10 Septemba 148723 Machi 1555) alikuwa Papa kuanzia tarehe 7 Februari 1550 hadi kifo chake.

Papa Julius III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Maria Ciocchi del Monte.

Alimfuata Papa Paulo III akafuatwa na Papa Marcello II.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Julius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.