Papa Klementi IX

papa kutoka 1667, aliishi 1600-1669

Papa Klementi IX (28 Januari 16009 Desemba 1669) alikuwa Papa kuanzia tarehe 20/26 Juni 1667 hadi kifo chake[1]. Alitokea Pistoia, Italia[2].

Papa Klementi IX.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giulio Rospigliosi.

Alimfuata Papa Aleksanda VII akafuatwa na Papa Klementi X.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.