Papa Leo XI
Papa Leo XI (2 Juni 1535 – 27 Aprili 1605) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/10 Aprili 1605 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro de' Medici.
Alimfuata Papa Klementi VIII akafuatwa na Papa Paulo V.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |