Papa Leo XII

Papa Leo XII.

Papa Leo XII (22 Agosti 176010 Februari 1829) alikuwa papa kuanzia tarehe 28 Septemba 1823 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Annibale Francesco Clemente Melchiore Girolamo Nicola della Genga.

Alimfuata Papa Pius VII akafuatwa na Papa Pius VIII.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.