Papa Marinus I

Papa Marino.

Papa Marinus I alikuwa papa kuanzia 16 Desemba 882 hadi kifo chake tarehe 15 Mei 884.

Alimfuata Papa Yohane VIII akafuatwa na Papa Adriano III.

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Marinus I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.