Papa Romanus

Papa Romanus alikuwa Papa kuanzia Agosti hadi Novemba 897.

Papa Romanus.

Alimfuata Papa Stefano VI. Baada ya miezi michache tu aliondoshwa madarakani akafuatwa na Papa Theodor II.

Tarehe ya kufariki kwake haijulikani.

Maandishi yakeEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Romanus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.