Papa Celestino III
(Elekezwa kutoka Papa Selestini III)
Papa Celestino III (takriban 1106 – 8 Januari 1198) alikuwa Papa kuanzia tarehe 10/14 Aprili 1191 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacinto Bobone.
Alimfuata Papa Klementi III akafuatwa na Papa Innocent III.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |