Papa Sergio IV
Papa Sergio IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 31 Julai 1009 hadi kifo chake tarehe 12 Mei 1012[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Martino Boccapecora.
Alimfuata Papa Yohane XVIII akafuatwa na Papa Benedikto VIII.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sergio IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |