Papa Benedikto VIII

Papa Benedikto VIII.

Papa Benedikto VIII alikuwa papa kuanzia mwaka 1012 hadi kifo chake tarehe 9 Aprili 1024. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Theophylactus.

Alimfuata Papa Sergio IV akafuatwa na Papa Yohane XIX.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.