Papa Vigilio alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Machi 537 hadi kifo chake tarehe 7 Juni 555[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Vigilio katika mchoro wa mwaka 1678.

Alimfuata Papa Silverio akafuatwa na Papa Pelagio I.

Tazama pia Edit

Tanbihi Edit

Viungo vya nje Edit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Vigilio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.