Papa Silverio
Papa Silverio alikuwa Papa kuanzia tarehe 8 Juni 536 hadi alipojiuzulu tarehe 11 Novemba 537.
Alimfuata Papa Agapeto I akafuatwa na Papa Vigilio.
Alizaliwa na Papa Hormisdas katika ndoa yake kabla ya kupata upadrisho.
Aliondoshwa madarakani mnamo mwezi Machi 537 kwa nguvu ya Theodosia, mke wa Kaisari wa Bizanti, aliyempendelea Vigilio.
Silverio alifungwa na kupelekwa uhamishoni katika kisiwa cha Palmarola alipofariki tarehe 2 Desemba 537.
Angalau tangu karne ya 11 ameheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
MarejeoEdit
- Louise Ropes Loomis, The Book of Popes ("Liber Pontificalis"). Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 1-889758-86-8 (Reprint of the 1916 edition. English translation with scholarly footnotes, and illustrations).
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Silverio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |