Papa Yohane XI alikuwa Papa kuanzia Machi 931 hadi kifo chake mwezi wa Januari 936[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Yohane XI.

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Yohane (labda alizaliwa mwaka 910).

Alimfuata Papa Stefano VII akafuatwa na Papa Leo VII.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.