Papa Stefano VII

Papa Stefano VII alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Desemba 928 hadi kifo chake mwezi wa Februari 931. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Stefano de Gabrielli.

Papa Stefano VII.

Alimfuata Papa Leo VI akafuatwa na Papa Yohane XI.

Stefano VII alikuwa Papa wakati Papa Yohane X alikuwa bado hai kifungoni.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.