Papa Yohane XIV
Papa Yohane XIV alikuwa Papa kuanzia Novemba/Desemba 983 hadi kifo chake tarehe 20 Agosti 984[1]. Alitokea Pavia, Lombardia, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Petro.
Alimfuata Papa Benedikto VII akafuatwa na Papa Yohane XV.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XIV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |