Papa Yohane XV

Papa Yohane XV alikuwa Papa kuanzia mwaka 985 hadi kifo chake mnamo Aprili 996.

Papa Yohane XV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa pia Yohane.

Alimfuata Papa Yohane XIV akafuatwa na Papa Gregori V.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.