Petro wa Osma
Petro wa Osma, O.S.B. (Bourges, leo nchini Ufaransa, 1040 hivi - Palencia, Hispania, 2 Agosti 1109) alikuwa mmonaki wa urekebisho wa Cluny aliyefanywa kwanza shemasi mkuu wa Toledo, halafu askofu wa jimbo la Osma ambaye kwa juhudi zake za kichungaji aliliinua tena mara baada ya watawala Waislamu kuondolewa [1].
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake [2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |