Petronila wa Roma (alifariki mjini Roma, Italia, karne ya 1) alikuwa bikira Mkristo. Kwa sababu hiyo aliuawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Mchoro mdogo wa Mt. Petronila na wagonjwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 31 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.